SIMBA SC YAWASILI KIGOMA KUIVAA MASHUJAA KESHO KOMBE LA TFF
KIKOSI cha Simba kimewasili salama Kigoma tayari kwa mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) dhidi ya wenyeji, Mashujaa FC kesho kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Lake Tanganyika. Hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo itakamilishwa kesho kwa mchezo kati ya Mabingwa watetezi, Yanga SC dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC kuanzia Saa 2:00 usiku Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Tayari timu sita zimekwishatinga Robo Fainali ambazo ni Azam FC, Singida Black Stars, zamani Ihefu SC, Coastal Union, Namungo FC, Geita Gold na Tabora United. GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI SIMBA ILIVYOWASIKI KIGOMA
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment