KIKOSI ch Simba SC kimewasili salama Jijini Dar es Salaam kikitokea Singida ambako jana kilitoa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa LITI mjini humo. Simba moja kwa moja inakwenda kambini kujiandaa na mchezo wake ujao wa Ligi Kuu dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC Jumamosi ijayo Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam. GONGA KUTAZAMA VÍDEO AHMED ALLY AKIZUNGUMZA BAADA YA MECHI YA JANA
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment