// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
LUSAJO MWAIKENDA AJITIA KITANZI AZAM FC HADI 2027 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINELUSAJO MWAIKENDA AJITIA KITANZI AZAM FC HADI 2027 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
BEKI Lusajo Elukaga Mwaikenda ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea na kazi Azam FC ambao utamuweka viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2027. Mwaikenda (23) ni zao lingine la uwekezaji katika soka ya vijana Azam FC ambaye baada ya kufanya vizuri Azam Academy alipelekwa KMC kwa mkopo Agosti 2020 kupata uzoefu kabla ya kurejea Juni mwaka Juni 2021 na moja kwa moja kuingia kikosi cha kwanza na kuaminiwa kiasi cha kuteuliwa Nahodha Msaidizi. GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment