• HABARI MPYA

        Sunday, April 14, 2024

        LIVERPOOL YAKALISHWA PALE PALE ANFIELD…YAPIGWA 1-0 NA CRYSTAL PALACE


        BAO pekee la kiungo Muingereza mwenye asili ya Nigeria, Eberechi Oluchi Eze dakika ya 14 limeipa Crystal Palace ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield Jijini Liverpool.
        Kwa ushindi huo, Crystal Palace inafikisha pointi 33 na kusogea nafasi ya 14, wakati Liverpool inabaki na pointi zake 71 nafasi ya tatu baada ya wote kucheza mechi 32.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: LIVERPOOL YAKALISHWA PALE PALE ANFIELD…YAPIGWA 1-0 NA CRYSTAL PALACE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry