IHEFU NA SINGIDA FOUNTAIN GATE ZATOSHANA NGUVU, 1-1 LITI
TIMU ya Ihefu SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI mjini Singida. Kiungo Mghana, Nicholas Gyan anayeweza kucheza nafasi za ulinzi na ushambuliaji pia alianza kuifungia Singida Fountain Gate dakika ya 20, kabla ya kiungo mzawa, Joseph Mahundi kuisawazishia Ihefu SC dakika ya 70. Kwa matokeo hayo, Ihefu SC ambayo imebadilishwa jina na kuwa Singida Black Stars inafikisha pointi 25, ingawa inabaki nafasi ya 11 ikizidiwa tu wastani wa mabao na Singida Fountain Gate baada ya wote kucheza mechi 23.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment