GEITA GOLD YATINGA ROBÓ FAINALI KOMBE KA TFF KWA KUICHAPA RHINO RANGERS 2-1
TIMU ya Geita Gold imefanikiwa kwenda Robó Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora leo Uwanja wa shule ya sekondari ya wasichana ya Nyankumbu mjini Geita. Mabao ya Geita Gold yamefungwa na Yamlinga Yamlinga aliyejifunga dakika ya pili na Elius Maguri dakika ya 20, wakati bao pekee la Rhino Rangers limefungwa na Marky Simon. Geita Gold inakuwa timu ya pili kwenda Robó Fainali baada ya Namungo FC ambayo jana iliitoa Kagera Sugar kwa penalti 5-3 kufuatia sare ya bila kufungana Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment