// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
CHELSEA YAAMBULIA SARE KWA SHEFFIELD UNITED 2-2 BRAMALL LANE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINECHELSEA YAAMBULIA SARE KWA SHEFFIELD UNITED 2-2 BRAMALL LANE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
CHELSEA YAAMBULIA SARE KWA SHEFFIELD UNITED 2-2 BRAMALL LANE
BAO la dakika ya 90+3 la Oli McBurnie limewasaidia wenyeji, Sheffield United kupata sare ya 2-2 na Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Bramall Lane mjini Sheffield. Chelsea ilikuwa inaongoza 2-1, mabao yake yakifungwa na Thiago Silva dakika ya 11 na Chukwunonso Madueke dakika ya 66 dhidi ya bao la Sheffield United lililofungwa na Jayden Bogle dakika ya 32. Kwa sare hiyo, Chelsea inafikisha pointi 44 katika mchezo wa 31 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Sheffield United inabaki na pointi zake 16 za mechi 31 mkiani mwa Ligi, nafasi ya 20.
Preview: Arsenal v Ipswich Town
-
Get all the pre-match team news, stats, quotes, tactics and live TV
coverage in our essential guide to our festive fixture
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment