// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 04/01/2024 - 05/01/2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 04/01/2024 - 05/01/2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, April 30, 2024
    SIMBA SC YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO FC 2-2 RUANGWA

    SIMBA SC YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO FC 2-2 RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majaliw...
    Monday, April 29, 2024
    JKT TANZANIA YAICHIMBIA KABURI MTIBWA SUGAR, YAICHAPA 2-1 MBWENI

    JKT TANZANIA YAICHIMBIA KABURI MTIBWA SUGAR, YAICHAPA 2-1 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa M...
    ZAMALEK YATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    ZAMALEK YATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    TIMU ya Zamalek SC ya Misri imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Dreams...
    Sunday, April 28, 2024
    HATIMAYE PAMBA FC YAREJEA LIGI KUU, BIASHARA NA MBEYA KWANZA KUJARIBU ‘MLANGO WA UANI’

    HATIMAYE PAMBA FC YAREJEA LIGI KUU, BIASHARA NA MBEYA KWANZA KUJARIBU ‘MLANGO WA UANI’

    HATIMAYE timu ya Pamba ya Mwanza imefanikiwa kurejea Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Mbuni FC ...
    MASHABIKI SIMBA WALIVYOJITOKEZA KUPOKEA KOMBE LA MUUNGANO

    MASHABIKI SIMBA WALIVYOJITOKEZA KUPOKEA KOMBE LA MUUNGANO

    MASHABIKI wa Simba SC waliojitokeza kuwapokea wachezaji wao baada ya kurejea kutoka Zanzíbar ambako jana walitwaa Kombe la Muungano kufuatia...
    RAIS WA ZANZIBAR DK MWINYI ALIVYOWAKABIDHI SIMBA KOMBE NA ‘MAHELA’ YA MUUNGANO JANA

    RAIS WA ZANZIBAR DK MWINYI ALIVYOWAKABIDHI SIMBA KOMBE NA ‘MAHELA’ YA MUUNGANO JANA

    RAIS wa Zanzíbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi Kombe la Muungano Nahodha wa Simba SC, Moha...
    Saturday, April 27, 2024
    NI SIMBA SC MABINGWA WA KWANZA MUUNGANO CUP, WAICHAPA AZAM 1-0 ZANZÍBAR

    NI SIMBA SC MABINGWA WA KWANZA MUUNGANO CUP, WAICHAPA AZAM 1-0 ZANZÍBAR

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutwaa Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Fainali usiku huu Uwanja...
    YANGA SC YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 CHAMAZI BAO LA GUEDE

    YANGA SC YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 CHAMAZI BAO LA GUEDE

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Unión katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
    Friday, April 26, 2024
    DODOMA JIJI YAICHAPA KMC 1-0 UWANJA WA JAMHURI

    DODOMA JIJI YAICHAPA KMC 1-0 UWANJA WA JAMHURI

    BAO pekee la mshambuliaji Paul Peter Kasunda dakika ya tisa limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya ...
    STRAIKA MRUNDI AIPONZA TABORA UNITED YAFUNGIWA TENA KUSAJILI

    STRAIKA MRUNDI AIPONZA TABORA UNITED YAFUNGIWA TENA KUSAJILI

    SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Tabora United kufanya usajili wa mchezaji mpya hadi hapo itakapomlipa madai yake...
    Thursday, April 25, 2024
    SIMBA QUEENS YAIKANYAGA YANGA PRINCES 3-1 CHAMAZI

    SIMBA QUEENS YAIKANYAGA YANGA PRINCES 3-1 CHAMAZI

    TIMU ya Simba Queens imeendeleza ubabe kwa watani wao, Yanga Princess baada ya kuwachapa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tan...
    Wednesday, April 24, 2024
    FREDDY MICHAEL KOUBLAN AIPELEKA SIMBA FAINALI MUUNGANO CUP

    FREDDY MICHAEL KOUBLAN AIPELEKA SIMBA FAINALI MUUNGANO CUP

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, KVZ katika mchezo wa Nusu F...
    YANGA SC YATOKA PATUPU ISAMUHYO, 0-0 NA JKT TANZANIA

    YANGA SC YATOKA PATUPU ISAMUHYO, 0-0 NA JKT TANZANIA

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamepunguzwa kasi baada ya kulazimishwa sare ya bila mabao na wenyeji, JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
    ARAJIGA AIFUATA SIMBA SC KOMBE LA MUUNGANO ZANZIBAR

    ARAJIGA AIFUATA SIMBA SC KOMBE LA MUUNGANO ZANZIBAR

    REFA Ahmed Arajiga wa Manyara ni miongoni mwa waamuzi watatu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara walioteuliwa kuchezesha Kombe la Muungnao, mic...
    YANGA NA TABORA MEI MOSI CRDB BANK FEDERATION CUP

    YANGA NA TABORA MEI MOSI CRDB BANK FEDERATION CUP

    MABINGWA watetezi, Yanga SC watamenyana na Tabora United Mei 1 katika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano a...
    Tuesday, April 23, 2024
    MECHI YA JKT TANZANIA NA YANGA YAAHIRISHWA UWANJA MAJI MENGI

    MECHI YA JKT TANZANIA NA YANGA YAAHIRISHWA UWANJA MAJI MENGI

    MCHEZO wa l Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya mabingwa watetezi, Yanga SC na wenyeji, JKT Tanzania uliopangwa kufanyika jioni ya leo Uwanja ...
    Monday, April 22, 2024
    TANZANIA PRISONS NA KAGERA SUGAR HAKUNA MBABE, 0-0 SOKOINE

    TANZANIA PRISONS NA KAGERA SUGAR HAKUNA MBABE, 0-0 SOKOINE

    WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bila mabao na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sok...
    BODI YAAHIRISHA MECHI ZA SIMBA NA AZAM, YAZIADHIBU TABORA, JKT NA KMC

    BODI YAAHIRISHA MECHI ZA SIMBA NA AZAM, YAZIADHIBU TABORA, JKT NA KMC

    BODI ya Ligi Kuu (TPLB) imeahirisha mechi kadhaa za Azam na Simba ili kuzipa fursa ya kushiriki michuano ya Kombe la Muungano inayotarajiwa ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top