// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
NYONI NA ULIMWENGU WAFUTIWA KADI NYEKUNDU YA KIRUMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINENYONI NA ULIMWENGU WAFUTIWA KADI NYEKUNDU YA KIRUMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
NYONI NA ULIMWENGU WAFUTIWA KADI NYEKUNDU YA KIRUMBA
BEKI wa Namungo FC, Erasto Edward Nyoni na mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Thomas Emmanuel Ulimwengu wamefutiwa kadi nyekundu waliyoonyeshwa katika mchezo baina ya timu zao Machi 16 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Singida Fountain Gate waliibuka na ushindi wa 1-0 kwenye mechi hiyo, kabla ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi kupitia upya taarifa na matukio ya mchezo huo na kufuta adhabu ya Nyoni na Ulimwengu. GONGA HAPA KUSOMA TAARIFA ZAIDI
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment