MWANACHAMA MKONGWE YANGA, MZEE MANENO AFARIKI DUNIA DODOMA
MWANACHAMA wa muda mrefu wa Yanga na aliyekuwa mfanyakazi wa klabu hiyo, Meneno Hussein amefariki dunia leo nyumbani kwao Jijini Dodoma baada ya kusumbuliwa na maradhi. Maneno alifahamika Yanga miaka ya 1980 akianza kama mpenzi aliyejitolea kusaidia timu kifedha, kabla ya baadaye kupangishwa eneo la biashara ya vinywaji makao makuu ya klabu, Jangwani. Kufuatia kufungwa kwa Kaunta ya vinywaji klabuni, Maneno akahamia kwenye utumishi wa klabu kwanza kwa kujitolea kama mmoja msimamizi wa mapato na baadaye kuajiriwa kama mlinzi wa kambi ya timu. Mungu ampumzishe kwa amani Maneno Hussein. Amín.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment