// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MASHUJAA YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 KIGOMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MASHUJAA YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 KIGOMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 02, 2024

    MASHUJAA YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 KIGOMA


    BAO pekee la mshambuliaji Adam Adam dakika ya 34 limeipa Mashujaa FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
    Kwa ushindi huo, Mashujaa inafikisha 18 katika mchezo wa 19 na kusogea nafasi ya 13, wakati Namungo FC inabaki na pointi zake 20 za mechi 18 sasa nafasi ya tisa.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASHUJAA YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 KIGOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top