WENYEJI, Manchester United wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester. Mabao yote ya Manchester United yamewekwa kimiani kwa mikwaju ya penalti, la kwanza kiungo Mreno Bruno Fernandes dakika ya 12 na la pili mshambuliaji Muingereza, Marcus Rashford dakika ya 36. Kwa ushindi huo, Manchester United wanafiisha pointi 47 na kusogea nafasi ya sita, wakati Everton inabaki na pointi zake 25 nafasi ya 16 baada ya wote kucheza mechi 28.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment