CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE UNTED 3-2. STAMFORD BRIDGE
WENYEJI, Chelsea usiku wa Jumatatu wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Nicolas Jackson dakika ya sita, Cole Palmer dakika ya 57 na Mykhaylo Mudryk dakika ya 76, wakati ya Newcastle United yamefungwa na Alexander Isak dakika ya 43 na Jacob Murphy dakika ya 90. Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 39 katika mchezo wa 27, ngawa inabaki nafasi ya 11, ikizidiwa pointi moja na Newcastle United ambayo pia imecheza mechi moja zaidi.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment