WENYEJI, Brentford FC wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Gtech Community mjini Brentford, Middlesex. Mabao ya Brentford FC yamefungwa na Mads Roerslev dakika ya 50 na Yoane Wissa dakika ya 69, wakati ya Chelsea yamefungwa na Nicolas Jackson dakika ya 35 na Axel Disasi dakika ya 83. Kwa matokeo hayo, Brentford FC wanafikisha pointi 26 katika mchezo wa 27 nafasi ya 15 na Chelsea inafikisha pointi 36 katika mchezo wa 26 nafasi ya 11.
Football mourns former FUFA President Era Mugisa
-
The Federation of Uganda Football Associations (FUFA) is deeply saddened by
the demise of Mr. Era Mugisa, who served as FUFA President from 1974 to
1976....
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment