
Sunday, March 31, 2024

MABINGWA watetezi, Manchester City wametoa ya bila mabao na Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo leo Uwanja wa Etihad Jijini Man...
LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA BRIGHTON 2-1 ANFIELD
Sunday, March 31, 2024
WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfiel...
MANCHESTER UNITED YAAMBULIA SARE 1-1 KWA BRENTFORD
Sunday, March 31, 2024
TIMU ya Manchester United imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa ...
Saturday, March 30, 2024
YANGA YAAMBULIA SULUHU KWA MAMELODI SUNDOWNS DAR
Saturday, March 30, 2024
WENYEJI, Yanga SC wametoa sare ya bila kufungana na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika mchezo wa kwanza wa Robó Fainali ya Ligi ya Ma...
CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA BURNLEY PUNGUFU STAMFORD BRIDGE
Saturday, March 30, 2024
WENYEJI, Chelsea FC wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Burnley FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bri...
Friday, March 29, 2024
SIMBA CHALI KWA MKAPA, WAPIGWA 1-0 NA AHLY KINDA WA MIAKA 22
Friday, March 29, 2024
MABINGWA watetezi, Simba SC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Simba SC katika mchezo wa kwanza wa Robó Fainali ya Ligi ya Mabing...
DIARRA, AZIZ KI, AUCHO NA PACOME WAMEFANYA MAZOEZI LEO JIONI KIGAMBONI
Friday, March 29, 2024
KIPA Mmali, Djigui Diarra na viungo, Mburkinabe Stephane Aziz Ki, Mganda Khalid Aucho na Muivory Coast Peadoh Pacome Zouazoua wote wamefanya...
YANGA KUIVAA MAMELODI BILA DIARRA, YAO, AUCHO WALA PACOME
Friday, March 29, 2024
KOCHA Muargentina wa Yanga SC, Miguel Ángel Gamondi amethibitisha katika mchezo wa kesho dhidi ya Mamelodi Sundowns atawakosa nyota wake wan...
MSIBA SIMBA SC, SHABIKI AFARIKI AJALINI AKIJA KUSHUHUDIA MECHI NA AHLY
Friday, March 29, 2024
KLABU ya Simba imepata msiba baada ya shabiki wake mmoja kufariki ajalini akiwa safarini na wenzake kuja Dar es Salaam kushuhudia mchezo wa ...
MAMELODI SUNDOWNS WAWASILI DAR KUIKABILI YANGA SC KESHO
Friday, March 29, 2024
KIKOSI cha Mamelodi Sundowns kimewasili usiku wa kuamkia leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Robó Fainali ya Ligi ya M...
Thursday, March 28, 2024
MWAMBA HUYU HAPA! AUCHO TAYARI KWA SHUGHULI NA MAMELODI JUMAMOSI
Thursday, March 28, 2024
KIUNGO Mganda wa Yanga, Khalid Aucho leo amefanya mazoezi kikamilifu kuelekea mchezo wa kwanza wa Robó Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dh...
BENCHIKA: TUNA KAZI NGUMU MBELE YA AHLY KESHO
Thursday, March 28, 2024
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Mualgeria Abdelhak Benchika amesema wana kazi ngumu kesho mbele ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa kwanza wa Robo ...
Wednesday, March 27, 2024
AL AHLY TAYARI WAPO DAR KUIKABILI SIMBA IJUMAA
Wednesday, March 27, 2024
KIKOSI cha Al Ahly ya Misri kimewasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ...
Tuesday, March 26, 2024
SIMBA SC YAREJEA DAR TAYARI KUMVUA TAJI AHLY IJUMAA
Tuesday, March 26, 2024
KIKOSI cha Simba SC kimerejea leo Jijini Dar es Salaam kutoka visiwani Zanzíbar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa kwanza ...
Monday, March 25, 2024
MWANACHAMA MKONGWE YANGA, MZEE MANENO AFARIKI DUNIA DODOMA
Monday, March 25, 2024
MWANACHAMA wa muda mrefu wa Yanga na aliyekuwa mfanyakazi wa klabu hiyo, Meneno Hussein amefariki dunia leo nyumbani kwao Jijini Dodoma baad...
TAIFA STARS YAICHAPA MONGOLIA 3-0 LEO BAKU
Monday, March 25, 2024
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mongolia katika mchezo wa Mashindano mapya ya Shirikisho la...
BEKI WA ZAMANI SIMBA NA YANGA, RAMAZANI WASSO AFARIKI DUNIA
Monday, March 25, 2024
BEKI wa zamani wa Kimataifa wa Burundi, Ramazani Wasso amefariki dunia leo kwa Bujumbura nchini Burundi baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa ...
YANGA NA MAMELODI SUNDOWNS MACHI 30 NI ‘MUDA DAY’ MTAMBO WA MABAO JANGWANI
Monday, March 25, 2024
KLABU ya Yanga imeamua mchezo wake wa kwanza wa Robó Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns Machi 30 Uwanja wa Benjam...
SIMBA SC YATOZWA FAINI KWA VITENDO VYA USHIRIKINA
Monday, March 25, 2024
KLABU ya Simba SC imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la mashabiki wake kuingia uwanjani na kwenda golini kuchimba kutoa vitu, ambayo i...
NYONI NA ULIMWENGU WAFUTIWA KADI NYEKUNDU YA KIRUMBA
Monday, March 25, 2024
BEKI wa Namungo FC, Erasto Edward Nyoni na mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Thomas Emmanuel Ulimwengu wamefutiwa kadi nyekundu waliyoo...
Sunday, March 24, 2024
MSEMAJI WA SERIKALI MATINYI AFAFANUA KAULI YA WAZIRI NDUMBARO MECHI ZA SIMBA NA YANGA
Sunday, March 24, 2024
MKURUGENZI wa Idara ya Habari, MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Waziri wa Utamaduni, San...
ITABA ACHAPWA KWA TKO RAUNDI YA KWANZA ENGLAND
Sunday, March 24, 2024
BONDIA Hussein Itaba wa Tanzania usiku wa jana amepigwa na mwenyeji, Liam Cameron kwa Technical Knockout (TKO) Raundi ya kwanza katika pamba...
Saturday, March 23, 2024
NDONDI ZAITOA KIMASOMASO TANZANIA ALL AFRICAN GAMES 2024
Saturday, March 23, 2024
Rais wa Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT), Anderson Lukelo Willilo (aliyevaa suti) katika picha ya pamoja na washindi wa Medali na wenzao. ...
AZAM FC YAWACHAPA ZIMAMOTO 2-1 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI
Saturday, March 23, 2024
TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Zimamoto ya Zanzíbar katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex Jijini D...
MENEJA AIELEZA MAHAKAMA MWANAMUZIKI LAMECK DITTO AMEKOSESHWA SH. BILIONI 1.8
Saturday, March 23, 2024
Lameck Ditto (mwenye kofia) akijadiliana jambo na wakili wake, Elizabeth John na meneja wake Rodney Rugambo (mwenye fulana nyeupe) nje ya co...
Friday, March 22, 2024
MZIZE AWAKOSAKOSA BULGARIA, TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 BAKU
Friday, March 22, 2024
TIMU ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeanza vibaya michuano ya FIFA Series baada ya kuchapwa bao 1-0 na Bulgaria leo Uwanja wa Liv Bona...
SERIKALI YATUMIA BILIONI 2.4 KUGHARAMIA TIMU ZA TAIFA
Friday, March 22, 2024
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai 2023 hadi Februari, 2024 Wizara kupitia...
KARIA AKABIDHIWA JEZI ZA SIMBA NA YANGA KAMPENI YA KUZING’OA AHLY NA MAMELODI AFRIKA
Friday, March 22, 2024
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia leo amekabidhiwa jezi za Simba na Yanga kuelekea mechi za kwanza za Robó Fainali ...
TANZANIA YAAMBULIA MEDALI TATU ZA SHABA NDONDI ALL AFRICAN GAMES
Friday, March 22, 2024
MATOKEO ya kushangaza ya Majaji usiku wa jana yalimnyima Ushindi Nahodha wa Timu ya Taifa Yusuf Changalawe baada ya kupoteza kwa points kati...
Thursday, March 21, 2024
KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AL AHLY NI SH 5,000 MACHI 29 DAR
Thursday, March 21, 2024
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally akizungumza na Waandishi wa Habari jana Jijini Dar es Salaam. KIINGILIO cha chini katika mchezo wa kwan...
MASHABIKI KUINGIA BURE UWANJANI YANGA NA MAMELODI MACHI 30
Thursday, March 21, 2024
Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam . KLABU ya Yanga imesema hakutakuwa na kiing...
EZRA PAUL KUREJEA NA MEDALI YA SHABA ALL AFRICAN GAMES
Thursday, March 21, 2024
BONDIA Ezra Paul Mwanjwango amekuwa mwanamasumbwi wa kwanza wa Tanzania kuandikwa jina lake kwenye orodha ya washindi wa Medali katika Miche...
Wednesday, March 20, 2024
BETPAWA YATOA MABILIONI YA FEDHA KUDHAMINI TIMU ZA TAIFA ZA KIKAPU UGANDA
Wednesday, March 20, 2024
Maafisa wa kamati ya timu za Taifa wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Uganda (FUBA), watendaji wa betPawa na wawakilishi wa timu mbili za kita...
HUSSEIN ITABA KUPIGANA PAMBANO LA EDDIE HEARN JUMAMOSI UINGEREZA
Wednesday, March 20, 2024
Bondia Hussein Itaba atapanda tena ulingoni Jumamosi ya Machi 23 kuzipiga na Muingereza mwingine, Liam Cameron ukumbi wa Sheffield Arena, Sh...
SERIKALI YASISITIZA UZALENDO SIMBA NA YANGA DHIDI YA AHLY NA MAMELODI ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA
Wednesday, March 20, 2024
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amewaomba Watanzania waziunge mkono Simba na Yanga kwenye michezo ya Robo Fainali...
CHANGALAWE NAYE ATINGA NUSU FAINALI NDONDI ALL AFRICAN GAMES
Wednesday, March 20, 2024
BONDIA wa Tanzania, Yussuf Changalawe amefanikiwa kutinga Nusu Fainali katika Mchezo ya Afrika (All African Game) inayoendelea nchini Ghana ...
Tuesday, March 19, 2024
YANGA YAANZA KUJIFUA KIGAMBONI KUIKUSANYIA NGUVU MAMELODI
Tuesday, March 19, 2024
KIKOSI cha Yanga SC leo kimeingia kambini, Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam kujiandaa na michezo miwili ya nyumbani na ugenini Robó...
PACOME AITWA KIKOSI CHA IVORY COAST KUWAVAA URUGUAY
Tuesday, March 19, 2024
KOCHA Emerse Fae amemjumuisha kiungo wa Yanga, Peodoh Pacome Zouzoua katika kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast kwa ajili ya mechi za ki...
SIMBA SC YAINGIA KAMBINI ZANZÍBAR KUJIANDAA NA AL AHLY
Tuesday, March 19, 2024
KLABU ya Simba leo imeingia kambini visiwani Zanzíbar kujiandaa na mechi mbili za nyumbani na ugenini Robó Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika d...
UJENZI UWANJA MPYA WA KISASA WA KABUMBU ARUSHA MAMBO YAIVA
Tuesday, March 19, 2024
KATIBU Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa (kushoto) akisaini Mkataba na Mkandarasi China Southwest Architectural Desi...
Subscribe to:
Posts (Atom)