YANGA SC YAREJEA KILELENI BAADA YA KUICHAPA DODOMA JIJI 1-0 CHAMAZI
MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo Mudathir Yahya Abbas ‘Zanzíbar Greatest’ dakika ya 85 akimalizia pasi nzuri ya beki wa kushoto, Nickson Kibabage baada ya wawili hao wote kutokea benchi kipindi cha pili. Yanga inafikisha pointi 34 na kurejea juu ya msimamo wa Ligi, ikiizidi pointi tatu Azam FC baada ya wote kucheza mechi 13, wakifuatiwa na Simba SC yenye pointi 26 za mechi 11 nafasi ya tatu.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment