TANZANIA YANG'ARA KATIKA FUTSAL, YAICHAPA NAMIBIA 5-2 WINDHOEK
TIMU ya Taifa ya Futsal jana iliibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya wenyeji, Namibia katika mchezo wa kwanza kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika uliofanyika Uwanja wa Showgrounds Jini Windhoek. Timu hizo zitarudiana Jijini Dar es Salaam Februari 11 na mshindi wa jumla atafuzu kwenye Fainali za Futsal, michuano ambayo itafanyika kuanza Aprili 8 hadi 17 Jijini Laayoune, Morocco.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment