TANZANIA PRISONS YAITANDIKA SINGIDA FOUNTAIN GATE 3-1 SOKOINE
WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Mabao ya Tanzania Prisons yamefungwa na Zabona Mayombya, mawili dakika ya 15 na 73 na Sansón Mbangula dakika ya 59, wakati bao pekee la Singida Fountain Gate limefungwa na Bruno Gomes dakika ya 27. Tanzania Prisons wanafikisha pointi 20 na kupanda nafasi ya sita, wakati Singida Fountain Gate inabaki na pointi 20 na inashukia nafasi ya saba baada ya wote kucheza mechi 16.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment