// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MANCHESTER UNITED YAICHAPA ASTON VILLA 2-1 VILLA PARK - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMANCHESTER UNITED YAICHAPA ASTON VILLA 2-1 VILLA PARK - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MANCHESTER UNITED YAICHAPA ASTON VILLA 2-1 VILLA PARK
TIMU ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumapili Uwanja wa Villa Park, Birmingham. Mabao ya Manchester United yamefungwa na Rasmus Hojlund dakika ya 17 na Scott McTominay dakika ya 86, wakati bao pekee la Aston Villa limefungwa na Douglas Luiz dakika ya 67. Kwa ushindi huo, kikosi cha kocha Mholanzi, Erik ten Hag kinafikisha pointi 41, ingawa kinabaki nafasi ya sita kikizidiwa pointi tano na Aston Villa baada ya wote kucheza mechi 24.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment