WENYEJI, Kagera Sugar wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa na mshambuliaji Mzambia, Obrey Chirwa dakika ya 24 na beki wa kulia, mzawa Dickson Mhilu dakika ya 76, huku bao pekee la Ihefu SC limefungwa na kiungo Mtogo, Marouf Tchakei dakika ya 71. Kwa ushindi huo, Kagera Sugar inafikisha pointi 21 na kusogea nafasi ya nane, wakati Ihefu SC inabaki na pointi zake 19 nafasi ya 11 baada ya wote kucheza mechi 17.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment