CUNHA APIGA HAT-TRICK WOLVES YAICHAPA CHELSEA 4-2 STAMFORD BRIDGE
MSHAMBULIAJI Mbrazil, Matheus Cunha amefunga mabao matatu kuiwezesha Wolverhampton Wanderers kuichapa Chelsea 4-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Cunha amefunga mabao hayo dakika za 22, 63 na 82, wakati bao lingine la Wolves limefungwa na beki Mfaransa, Axel Disasi aliyejifunga dakika ya 43, wakati mabao ya Chelsea yamefungwa na Cole Palmer dakika ya 19 na Thiago Silva dakika ya 86. Kwa ushindi huo, Wolves inafikisha pointi 32 na kusogea nafasi ya 10, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 31 na inashukia nafasi ya 11, baada ya wote kucheza mechi 23.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment