BAO la kiungo Msenegal, Babacar Sarr dakika ya 81 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Ushindi huo unaifanya Simba SC ifikishe pointi 33 na kupanda nafasi ya pili, ikiizidi pointi moja Azam FC baada ya wote kucheza mechi 14 na wote wapo nyuma ya mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 40 za mechi 15. Kwa upande wao Geita Gold baada ya kupoteza mchezo huo wanabaki na pointi zao 16 za mechi 14 nafasi ya 10.
Uganda Cranes learn AFCON 2025 opponents
-
Uganda Cranes on Monday, 27th January 2025 learned the teams they will face
at the coveted 2025 TotalEnergies Africa Cup of Nations. The Draw for the
bie...
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws
-
South Africa will face Mohamed Salah captained Egypt while Ademola
Lookman-inspired Nigeria must tackle Tunisia after the 2025 Africa Cup of
Nations ...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment