// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ASEC WAAHIRISHA MCHEZO WA SIMBA NA MTIBWA MORO JUMAPILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ASEC WAAHIRISHA MCHEZO WA SIMBA NA MTIBWA MORO JUMAPILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, February 16, 2024

    ASEC WAAHIRISHA MCHEZO WA SIMBA NA MTIBWA MORO JUMAPILI


    MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya Mtibwa Sugar na Simba SC uliopangwa kufanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili umeahirishwa.
    Taarifa ya Bodi ya Ligi leo imesema kwamba mchezo huo umeahirishwa kwa sababu Simba SC wanatakiwa kusafiri kwenda Ivory Coast kwa ajili ya mchezo wao wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, ASEC Mimosas Ijumaa Jijini Abidjan.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ASEC WAAHIRISHA MCHEZO WA SIMBA NA MTIBWA MORO JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top