
Thursday, February 29, 2024

RAIS Mstaafu na aliyekuwa mpenzi wa michezo, Alhaj Ali Hassan Mwinyi amefariki dunia leo Jijini Dar es Salaam akiwa ana umri wa miaka 98 baa...
MAKOYO ISANGURA ALIYETWAA MEDALI YA DHAHABU AFRIKA 1991
Thursday, February 29, 2024
NI LIVERPOOL NA MAN UNITED ROBO FAINALI FA ENGLAND
Thursday, February 29, 2024
VIGOGO, Chelsea, Manchester United, Manchester City na Liverpool wamefanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali Kombe la FA England. Manchester ...
SIMBA SC 6-0 TRA (KOMBE LA TFF)
Thursday, February 29, 2024
PRISONS YAKWEA TANO BORA LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA TABORA UNITED 2-1
Thursday, February 29, 2024
TIMU ya Tanzania Prisons jana iliibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa So...
IHEFU SC YABANWA NYUMBANI, YATOA SARE NA MSHUJAA 1-1
Thursday, February 29, 2024
WENYEJI, Ihefu SC jana wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja LITI m...
Wednesday, February 28, 2024
SIMBA SC YAIFUMUA TRA 6-0 AZAM FEDERATION CUP
Wednesday, February 28, 2024
TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (A...
KIPRE JUNIOR AIBEBESHA AZAM FC POINTI TATU MUHIMU
Wednesday, February 28, 2024
BAO pekee la winga Muivory Coast, Kipré Tiagori Emmanuel Junior Zunon dakika ya 53 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida Fountain ...
GEITA GOLD YATOKA SULUHU NA KAGERA SUGAR NYANKUMBU
Wednesday, February 28, 2024
WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya bila mabao na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa sekondari...
Tuesday, February 27, 2024
MTIBWA SUGAR MAMBO MAGUMU, YABANWA MANUNGU
Tuesday, February 27, 2024
WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya bila mabao na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Manun...
JKT TANZANIA NA KMC HAKUNA MBABE, 0-0 MBWENI
Tuesday, February 27, 2024
WENYEJI, JKT Tanzania wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Meja Jene...
Sunday, February 25, 2024
NI LIVERPOOL MABINGWA KOMBE LA LIGI ENGLAND
Sunday, February 25, 2024
TIMU ya Liverpool imefanikiwa kutwaa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea leo katika mch...
KAGERA SUGAR YAICHAPA IHEFU SC 2-1 KAITABA
Sunday, February 25, 2024
WENYEJI, Kagera Sugar wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mji...
AZAM FC YAAMBULIA SARE YA 1-1 KWA PRISONS MBEYA
Sunday, February 25, 2024
WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa S...
RAIS SAMIA AWAPONGEZA YANGA KUTINGA ROBÓ FAINALI LIGI YA MABINGWA
Sunday, February 25, 2024
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufuzu Robó Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afri...
TABORA UNITED YAAMBULIA SARE 1-1 NA FOUNTAIN GATE
Sunday, February 25, 2024
WENYEJI, Tabora United wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo ...
ARSENAL YAWABOMOA NEWCASTLE UNITED 4-1 EMIRATES
Sunday, February 25, 2024
WENYEJI, Arsenal jana wameibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Ji...
Saturday, February 24, 2024
FODEN AING’ARISHA MAN CITY YAICHAPA BOURNEMOUTH 1-0 VITALITY
Saturday, February 24, 2024
BAO pekee la kiungo Muingereza, Philip Walter Foden dakika ya 24 limeipa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, AFC Bournemouth ka...
KMC YATOA SARE 2-2 NA NAMUNGO FC CHAMAZI
Saturday, February 24, 2024
TIMU za KMC na Namungo FC zimegawana pointi baada ya sare ya kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uw...
WANIGERIA WAIKANDA MAN UNITED FULHAM YASHINDA 2-1
Saturday, February 24, 2024
WENYEJI, Manchester United wamechapwa mabao 2-1 na Fulham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester....
COASTAL UNION YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 MKWAKWANI
Saturday, February 24, 2024
BAO pekee la Charles Semfuko dakika ya 12 limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzan...
YANGA YAWATANDIKA WAARABU 4-0 KAMA WAMESIMAMA MKAPA
Saturday, February 24, 2024
WENYEJI, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika usiku...
SIMBA SC NA ASEC ZATOSHANA MBAVU ABIDJAN
Saturday, February 24, 2024
TIMU ya Simba SC imetoa sare ya bila mabao na wenyeji, ASEC Mimosas usiku wa Ijumaa katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mbingwa Afrika Uwanja w...
Friday, February 23, 2024
TWIGA STARS YALAMBWA 3-0 NA BANYANA BANYANA CHAMAZI
Friday, February 23, 2024
TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imechapwa mabao 3-9 na Afrika Kusini katika mchezo wa kwanza Raundi ya Tatu kufuzu Olimpi...
Thursday, February 22, 2024
AZAM FC YAWATANDIKA GREEN WARRIORS 5-0 ASFC CHAMAZI
Thursday, February 22, 2024
TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASF...
LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA LUTON 4-1 ANFIELD
Thursday, February 22, 2024
TIMU ya Liverpool imetoka nyuma na kushinda 4-1 dhidi ya Luton Town katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Anfield Jijini Liver...
ARSENAL WACHAPWA 1-0 NA PORTO LIGI YA MABINGWA
Thursday, February 22, 2024
WENYEJI, FC Porto wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana...
MTIBWA SUGAR NA NAMUNGO ZASONGA MBELE AZAM FEDERATION CUP
Thursday, February 22, 2024
TIMU za Namungo FC na Mtibwa Sugar zimefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Spo...
Wednesday, February 21, 2024
KAGERA SUGAR YAITUPA NJE PAMBA AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Wednesday, February 21, 2024
TIMU ya Kagera Sugar jana ilifanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federatio...
Tuesday, February 20, 2024
GUEDE APIGA MBILI YANGA YAICHAPA POLISI 5-0
Tuesday, February 20, 2024
MABINGWA watetezi, Yanga wamefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federati...
TIMU ZA LIGI KUU ZAZICHUJA ZA CHAMPIONSHIP KWENYE ASFC
Tuesday, February 20, 2024
TIMU za Coastal Union, Singida Fountain Gate na Dodoma Jiji zimelinda hadhi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuzitoa timu za NBC Ch...
Monday, February 19, 2024
BENCHIKA ATEUA 22 KUIFUATA ASEC KWA MECHI YA IJUMAA
Monday, February 19, 2024
KOCHA Mualgeria, Abdelhak Benchika ameteua wachezaji 22 kwa safari ya Ivory Coast kwa ajili ya mchezo wa Kundi B Ligi ya Mbingwa Afrika dhid...
AZAM FC YAAMBULIA SARE KWA TABORA UNITED, 0-0 MWINYI
Monday, February 19, 2024
TIMU ya Azam FC imetoa sare ya bila mabao na wenyeji, Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ali Hassan ...
IHEFU YAWAKANDA GEITA GOLD 2-1 PALE PALE NYANKUMBU
Monday, February 19, 2024
TIMU ya Ihefu SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
WASHINDI WA MTOKO WA KIBINGWA 56 KUSHUHUDIA DERBY YA KARIAKOO
Monday, February 19, 2024
KAMPUNI namba moja ya michezo ya kubashiri nchini Betika imezindua rasmi Kampeni yake kubwa ya "Mtoko wa Kibingwa " kwa Msimu wa 7...
HOJLUND APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA LUTON 2-1
Monday, February 19, 2024
TIMU ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Luton Town katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa ...
Sunday, February 18, 2024
JKT TANZANIA YAAMBULIA POINTI MOJA KWA NAMUNGO MBWENI
Sunday, February 18, 2024
TIMU ya JKT Tanzania imelazimishwa sare ya bila mabao na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Meja Jenera...
MANCHESTER CITY YABANWA NA CHELSEA ETIHAD, DROO 1-1
Sunday, February 18, 2024
MABINGWA watetezi, Manchester City usiku wa jana wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwa...
Saturday, February 17, 2024
SAKA APIGA MBILI ARSENAL YATANDIKA VIBONDE BURNLEY 5-0
Saturday, February 17, 2024
TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya wenyeji, Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Turf Moor mjin...
LIVERPOOL YAICHAPA BRENTFORD 4-1 NA KUJITANUA KILELENI
Saturday, February 17, 2024
TIMU ya Liverpool imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya wenyeji, Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Gtech Comm...
KMC 0-3 YANGA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
Saturday, February 17, 2024
MUDATHIR APIGA MBILI YANGA YAICHAPA KMC 3-0 MORO
Saturday, February 17, 2024
MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamh...
MAKAMU MWENYEKITI SIMBA YA FAINALI CAF 1993 AFARIKI DUNIA
Saturday, February 17, 2024
ALIYEWAHI kuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba SC miaka ya 1990, Fakhruddin Amijee amefariki dunia jana jioni nyumbani kwake Arusha akiwa ana umr...
Friday, February 16, 2024
AZAM FC YAICHAPA GEITA GOLD 2-1 CHAMAZI
Friday, February 16, 2024
WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Com...
KAGERA SUGAR YABANWA, SARE 1-1 NA MASHUJAA KAITABA
Friday, February 16, 2024
WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa K...
ASEC WAAHIRISHA MCHEZO WA SIMBA NA MTIBWA MORO JUMAPILI
Friday, February 16, 2024
MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya Mtibwa Sugar na Simba SC uliopangwa kufanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili ume...
JKT TANZANIA 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Friday, February 16, 2024
AJIBU AFUNGA BAO PEKEE COASTAL YAILAZA DODOMA 1-0 MKWAKWANI
Friday, February 16, 2024
BAO pekee la Ibrahim Ajibu kwa penalti dakika ya pili tu jana liliipa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa ...
Thursday, February 15, 2024
CHAMA KATIKA UBORA WAKE, SIMBA YAICHAPA JKT 1-0 MBWENI
Thursday, February 15, 2024
BAO pekee la kiungo Mzambia, Clatous Chotta Chama dakika ya 33 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania jioni ya leo U...
TANZANIA PRISONS YAITANDIKA SINGIDA FOUNTAIN GATE 3-1 SOKOINE
Thursday, February 15, 2024
WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara le...
MAKOCHA WA SIMBA SC WAFUNGIWA NA FAINI JUU KWA FUJO DHIDI YA AZAM
Thursday, February 15, 2024
KOCHA Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Abdallah Matola amefungiwa mechi tatu kwa kosa la kufanya vurugu kwenye mchezo dhidi ya Azam FC Februar...
Subscribe to:
Posts (Atom)