TIMU ya Yanga SC imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuchapwa mabao 3-1 na APR ya Rwanda katika mchezo wa Robo Fainali usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar. Mabao ya APR yamefungwa na Soulei Sanda dakika ya 45 na ushei, Mbaoma Víctor kwa penalti dakika ya 49 na Sharaf Eldin Shaiboub dakika ya 79 baada ya winga Mkongo, Jesús Moloko kuanza kuifungia Yanga dakika ya 23. Sasa APR itakutana na mabingwa watetezi, Mlandege SC katika mchezo wa Nusu Fainali.
Crested Cranes travelling squad to Algeria
-
Crested Cranes Head Coach Sheryl Botes Ulanda has named the travelling
squad to Algeria ahead of the two international friendly games. The coach
named a ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment