KLABU ya Yanga imefanikiwa kwenda Robó Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Jamus FC ya Sudan Kusini usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar. Hadi mapumziko timu hizo zilikuwa zimefungana bao 1-1, Yanga wakitangulia kwa bao la kiungo Farid Mussa Malik dakika ya 16, kabla ya David Vincent kuisawazishia Jamus FC dakika ya 42. Shujaa wa Yanga leo ni beki Nickson Clement Kibabage aliyeifungia timu hiyo bao la ushindi dakika ya 90 na ushei na kwa matokeo hayo wanafikisha pointi sita baada ya mechi mbili kufuatia ushindi wa 5-0 dhidi ya Jamhuri kwenye mchezo wa kwanza hapo hapo New Amaan Complex.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment