YANGA SC YASAJILI MSHAMBULIAJI MUIVORY COAST ALIKUWA ANACHEZA UTURUKI
KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Guédé Gnadou (29) kuwa mchezaji wake mpya baada ya kumaliza mkataba wake, Tuzlaspor ya Uturuki. Guédé anakuwa mchezaji mpya wa tatu Yanga katika dirisha hili dogo, baada ya kiungo Shekhan Ibrahim Khamis (18) kutoka JKU ya Zanzíbar na winga, Augustine Okrah kutoka Bechem United ya kwao, Ghana.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment