KLABU ya Simba imemsajili kiungo wa ulinzi, Msenegal, Babacar Sarr kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake US Monastir ya Tunisia. Sare aliibukia klabu ya Wallydann, kabla ya kuhamia AS Pikine mwaka 2015, baadaye Mbour P.C. mwaka 2017, kabla ya kurejea AS Pikine mwaka 2018 zote za kwao, Senegal. Mwaka 2019 alijiunga na klabu maarufu Senegal, Teungueth FC ambako alicheza hadi mwaka 2021 akahamia Tunisia alikoanza na Olympique Beja hadi mwaka jana alipohamia 2023 US Monastir na sasa anatua ‘Unyamani’.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment