SIMBA SC YAANZA VIZURI KOMBE LA MAPINDUZI, YASHINDA 3-1
TIMU ya Simba SC imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKU katika mchezo wa Kundi B usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar. Mabao ya Simba leo yamefungwa na mshambuliaji Mzambia, Moses Phiri dakika ya nane, beki Mohamed Hassan dakika ya 64 aliyejifunga akijaribu na kuokoa krosi ya kiungo wa Msumbiji, Luis Miquissone na kiungo mpya, Saleh Karabaka dakika ya 65, wakati bao la JKU limefungwa na Neva Kaboma dakika ya 42.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment