TIMU ya Simba Queens imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya watani wao, Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba Queens yamefungwa na Aisha Mnuka mawili na Mkenya Vivian Corazone, wakati la Yanga Princess limefungwa na Neema Paul. Kwa ushindi huo, Simba Queens inafikisha pointi tisa na kuendelea kuongoza Ligi ya Wanawake kwa pointi tatu zaidi ya watani wao bao, Yanga Princess baada ya wote kucheza mechi tatu.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment