WENYEJI, Arsenal wameibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates Jijini London. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Gabriel Magalhães dakika ya 11, kipa Dean Henderson aliyejifunga dakika ya 37, Leandro Trossard dakika ya 59 na Gabriel Martinelli mawili dakika ya 90+4 na 90+5. Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 43 katika mchezo wa 21 na kusogea nafasi ya tatu, wakati Crystal Palace inabaki na pointi zake 21 za mechi 21 nafasi ya 14.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment