// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
AMROUCHE ATEUA 30 KWENDA KAMBINI TAIFA STARS MISRI MANDALIZI YA AFCON - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEAMROUCHE ATEUA 30 KWENDA KAMBINI TAIFA STARS MISRI MANDALIZI YA AFCON - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
AMROUCHE ATEUA 30 KWENDA KAMBINI TAIFA STARS MISRI MANDALIZI YA AFCON
KOCHA Mkuu wa imu ya taifa, Taifa Stars, Mualgeria Adel Amrouche ameteua wachezaji 30 kuingia kambini nchini Misri kujiandaa na Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zinazotarajiwa kuanza Januari 13 hadi Februari 11 nchini Ivory Coast. Taifa Stars ambayo imepangwa Kundi F pamoja na Morocco, Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeondoka leo Dar es Salaam kwenda Cairo, Misri kuweka kambi ya wiki moja kabla ya kwenda Ivory Coast. Kwa Taifa Stars hizo zitakuwa Fainali za tatu za AFCON kucheza baada ya mwaka 1980 nchini Nigeria na 2019 nchini Misri, kote wakitolewa hatua ya makundi.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment