
Wednesday, January 31, 2024

TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federatión Cup (A...
ARSENAL YAICHAPA NOTTINGHAM FOREST 2-1 THE CITY GROUND
Wednesday, January 31, 2024
TIMU ya Arsenal jana imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Nottingham Forest katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Th...
BAFANA BAFANA YAITUPA NJE MOROCCO, MALI YAING’OA BURKINA FASO
Wednesday, January 31, 2024
TIMU ya Afrika Kusini imefanikiwa kutinga Robo Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Morocco usiku wa...
Tuesday, January 30, 2024
MZIZE APIGA TATU YANGA YASHINDA 5-1 ASFC
Tuesday, January 30, 2024
KIKOSI cha Yanga leo kimefanikiwa kutinga Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federatión ...
IVORY COAST YAIVUA SENAGAL UBINGWA KWA MATUTA
Tuesday, January 30, 2024
TIMU ya Senegal imevuliwa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kufungwa kwa penalti 5-4 na wenyeji, Ivory Coast katika mchezo wa H...
Monday, January 29, 2024
DRC YAITOA MISRI KWA MATUTA, KUKUTANA NA GUINEA ROBO FAINALI
Monday, January 29, 2024
TIMU ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imefanikiwa kwenda Robó Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa penalti 8-7...
Sunday, January 28, 2024
MAN UNITED YAICHAPA NEWPORT COUNTRY 4-2 NA KUSONGA MBELE FA
Sunday, January 28, 2024
TIMU ya Manchester United imefanikiwa kwenda Raundi ya Tano ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya wenyeji, Newport C...
LIVERPOOL YASHINDA 5-2 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA ENGLAND
Sunday, January 28, 2024
TIMU ya Liverpool imeibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Norwich City katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa An...
NIGERIA YAITUPA NJE CAMEROON BAADA YA KUICHAPA 2-0 ABIDJAN
Sunday, January 28, 2024
WINGA wa Atalanta ya Italia, Ademola Lookman usiku wa kuamkia leo amefunga mabao yote kuiwezesha Nigeria kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya ...
Saturday, January 27, 2024
MAN CITY YASONGA MBELE KOMBE LA FA, CHELSEA YABANWA DARAJANI
Saturday, January 27, 2024
BAO la beki Mholanzi, Nathan Benjamin Aké dakika ya 88 liliipa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tottenham Hotspur katika mch...
Friday, January 26, 2024
TANZANIA NA IVORY COAST ZATAKA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA MICHEZO
Friday, January 26, 2024
WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast, Adjé Silas na ...
Thursday, January 25, 2024
SIMON MSUVA AJIUNGA NA AL- NAJMA YA SAUDI ARABIA
Thursday, January 25, 2024
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva amejiunga na klabu ya Al-Najma yenye maskani Mji wa Unaizah inayoshiriki Ligi Da...
LIVERPOOL YATINGA FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND
Thursday, January 25, 2024
TIMU ya Liverpool FC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup licha ya sare ya kufungana bao 1-1 na wen...
TAIFA STARS NA ZAMBIA ZATOLEWA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA
Thursday, January 25, 2024
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa bastará imetupwa nje Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika licha ya sare ya bila kufungana na Jamhuri ya Ki...
Wednesday, January 24, 2024
BURKINA FASO NA CAMEROON ZASONGA MBELE, ALGERIA WATOLEWA
Wednesday, January 24, 2024
TIMU ya Burkina Faso imefuzu Hatua ya Mtoano Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika licha ya kuchapwa mabao 2-0 na Angola usiku wa jana kati...
Tuesday, January 23, 2024
NIGERIA NA MISRI ZASONGA MBELE, IVORY COAST NA GHANA OUT AFCON
Tuesday, January 23, 2024
NIGERIA imefanikiwa kwenda Hatua ya Mtoano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Guinea-Bissau k...
Sunday, January 21, 2024
LIVERPOOL YAICHAPA BOURNEMOUTH 4-0 NA KUJIWEKA SAWA KILELENI ENGLAND
Sunday, January 21, 2024
TIMU ya Liverpool imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vitality mjik...
MSUVA AFUNGA STARS YADROO NA ZAMBIA WACHACHE
Sunday, January 21, 2024
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Zambia katika mchezo wa Kundi F Fainali za Kombe la Mataif...
PAMBA FC YAPIGA HONI LIGI KUU, YACHAPA STAND 4-1 NYAMAGANA
Sunday, January 21, 2024
WENYEJI, Pamba FC jana waliibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mwana Stand United katika mchezo wa Ligi ya NBC Champonship Uwanja wa Nyam...
MALI YAITOA MAURITANIA AFCON, BURKINA FASO SARE NA ALGERIA 2-2
Sunday, January 21, 2024
TIMU ya taifa ya Angola jana imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu Hatua ya Mtoano Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi ...
Saturday, January 20, 2024
ARSENAL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 5-0 EMIRATES
Saturday, January 20, 2024
WENYEJI, Arsenal wameibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates Jiji...
SENEGAL NA CAPE VERDE ZASONGA MBELE AFCON, CAMEROON HALI MBAYA
Saturday, January 20, 2024
MABINGWA watetezi, Senegal jana wamefanikiwa kwenda Hatua ya Mtoano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-1 d...
Friday, January 19, 2024
TFF YAMSIMAMISHA KAZI AMROUCHE, CAF YAMFUNGIA
Friday, January 19, 2024
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemsimamisha kazi Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mualgeria Adel Amrouche na kumteua mzalendo, Hemed Suleiman...
TANZANIA YAJIFUNZA KWA IVORY COAST MAANDALIZI YA AFCON
Friday, January 19, 2024
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk.Damas Ndumbaro ametembelea Uwanja wa Laurent Pokou Jijini San Pedro, Ivory Coast ili kuona ambavyo ...
SALAH AUMIA, MISRI YADROO NA GHANA, NIGERIA YAIZIMA IVORY COAST
Friday, January 19, 2024
WAKATI Nigeria imeweka hai matumaini ya kwenda Hatua ya Mtoano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka huu zinazoendelea nchini Ivory...
Thursday, January 18, 2024
DRC NA ZAMBIA HAKUNA MBABE, SARE 1-1 SAN PEDRO
Thursday, January 18, 2024
MECHI za kwanza za hatua ya makundi Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zimekamilishwa jana kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kut...
Wednesday, January 17, 2024
TAIFA STARS PUNGUFU YACHAPWA 3-0 NA MOROCCO AFCON
Wednesday, January 17, 2024
TANZANIA imeanza vibaya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Morocco katika mchezo wa Kundi F usiku ...
YANGA SC YAAJIRI MAAFISA WANNE WAPYA
Wednesday, January 17, 2024
KLABU ya Yanga imeajiri Maafisa wanne wapya katika Idara tofauti kuziba nafasi za walioondoka na kuongeza nguvu ya utendaji katika maeneo me...
SIMBA SC YASAJILI BEKI WA TANZANIA PRISONS
Wednesday, January 17, 2024
KLABU ya Simba imemtambulisha beki Edwin Charles Balua (22) kuwa mchezaji wake mpya wa sita dirisha hili dogo kutoka Tanzania Prisons ya Mbe...
NYOTA WA YANGA, DIARA NA AZIZ KI WAANZA NA SHANGWE AFCON
Wednesday, January 17, 2024
NYOTA wa Yanga, kipa Djigui Diarra na kiungo Stephane Aziz Ki jana walianza vyema Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zinazoendelea nchini...
Tuesday, January 16, 2024
SIMBA SC YAWATEMA NA BALEKE NA PHIRI PIA
Tuesday, January 16, 2024
KLABU ya Simba imeachana na washambuliaji wake wawili wa kigeni, Mkongo Jean Othos Baleke na Mzambia, Moses Phiri, hivyo kufanya jumla ya wa...
WAZIRI DK NDUMBARO AZUNGUMZA NA WACHEZAJI KABLA STARS KUIVAA MOROCCO KESHO
Tuesday, January 16, 2024
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo maalumu na kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kilicho...
SIMBA SC YAWAACHA WANNE KWA MIPIGO WAMO CHILUNDA NA MWANUKE
Tuesday, January 16, 2024
KLABU ya Simba imeachana na wachezaji wake wanne, viungo Jimson Stephen Mwanuke (24), Nassor Yahaya Kapama (27) na washambuliaji Shaaban Idd...
SENEGAL YAANZA NA MOTO, CAMEROON NA ALGERIA DROO
Tuesday, January 16, 2024
MABINGWA watetezi, Senegal jana wameanza vyema kampeni ya kulinda taji lao kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Gambia katika mchezo wa K...
YANGA SC YASAJILI MSHAMBULIAJI MUIVORY COAST ALIKUWA ANACHEZA UTURUKI
Tuesday, January 16, 2024
KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Guédé Gnadou (29) kuwa mchezaji wake mpya baada ya kumaliza mkataba wake, T...
Monday, January 15, 2024
KONKONI AJIUNGA NA TIMU YA CYPRUS KWA MKOPO KUMALIZIA MSIMU
Monday, January 15, 2024
KLABU ya Yanga imemtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Mghana, Hafiz Konkoni kwenda Dogan Tûrk Birligi ya Cyprus hadi mwisho wa msimu.
SIMBA SC YASHUSHA MUIVORY COAST KINARA WA MABAO ZAMBIA
Monday, January 15, 2024
KLABU ya Simba imemsajili mshambuliaji Muivory Coast, Freddy Michael Kouablan (25) kutoka Green Eagles ya Zambia ambako alikuwa anaongoza ku...
WASHINDI WAWILI BETIKA WAAGWA DAR KUELEKEA AFCON IVORY COAST
Monday, January 15, 2024
WASHINDI Wa promosheni ya Twenzetu Ivory Coast Ki-VIP wawili waagwa rasmi katika Uwanja wa Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam nch...
SIMBA YASAJILI STRAIKA MGAMBIA ALIKUWA ANACHEZA KAZAKHSTANI
Monday, January 15, 2024
KLABU ya Simba imemsajili mshambuliaji wa Kimataifa wa Gambia, Pa Omar Jobe (25) kutoka Zhenis ya Kazakhstani, huyo akiwa mchezaji wa nne mp...
YANGA SC YAACHANA NA WINGA 'MTAALAMU' JESUS MOLOKO
Monday, January 15, 2024
KLABU ya Yanga imeachana na winga, Jesus Ducapel Moloko baada ya misimu miwili na nusu tangu ajiunge nayo Agosti mwaka 2021 akitokea AS Vita...
MAN UNITED YAAMBULIA SARE KWA SPURS, 2-2 OLD TRAFFORD
Monday, January 15, 2024
WENYEJI, Manchester United jana wametoa sare ya kufungana mabao 2-2 na Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old ...
MABINTI 25 WAITWA SERENGETI GIRLS YA KUIVAA ZAMBIA KOMBE LA DUNIA
Monday, January 15, 2024
KOCHA Bakari Nyundo Shime ameteua wachezaji 25 kuunda timu ya taifa ya wasichana kitakachoingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Zambia ...
CAPE VERDE YAIDUWAZA GHANA, NIGERIA NA MISRI ZATOA SARE
Monday, January 15, 2024
BAO la dakika ya 90 na ushei la winga wa Ankaragücü ya Uturuki, Garry Mendes Rodrigues liliiwezesha Cape Verde kuibuka na ushindi wa 2-1 d...
Sunday, January 14, 2024
MANCHESTER CITY YAIKANDA NEWCASTLE UNITED 2-0 ST JAME'S PARK
Sunday, January 14, 2024
MABINGWA watetezi, Manchester City wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwa...
IVORY COAST YAANZA VYEMA AFCON, YAICHAPA GUINEA-BISSAU 2-0
Sunday, January 14, 2024
WENYEJI, Ivory Coast usiku wa jana walianza vyema kampeni yao ya kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kuichapa Guinea-Bissau mabao 2-...
Subscribe to:
Posts (Atom)