// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, December 23, 2024
    Saturday, December 21, 2024
    MUKWALA APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 5-2 BUKOBA

    MUKWALA APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 5-2 BUKOBA

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Ka...
    Friday, December 20, 2024
    NAMUNGO FC YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA RUANGWA

    NAMUNGO FC YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wamelazimishwa sare ya bila mabao na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Maj...
    KOCHA MOROCCO AITA 30 KUUNDA ZANZIBAR HEROES YA KOMBE LA MAPINDUZI

    KOCHA MOROCCO AITA 30 KUUNDA ZANZIBAR HEROES YA KOMBE LA MAPINDUZI

    KOCHA Hemed Suleiman ‘Morocco’ ameita wachezaji 30 kuunda kikosi cha timu ya Taifa ya Zanzibar itakayoshiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi...
    Wednesday, December 18, 2024
    ATEBA APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA KEN GOLD 2-0 MWENGE

    ATEBA APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA KEN GOLD 2-0 MWENGE

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ken Gold ya Mbeya  katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya   jion...
    VINICIUS MWANASOKA BORA WA MWAKA WA FIFA, ANCELOTTI KOCHA BORA

    VINICIUS MWANASOKA BORA WA MWAKA WA FIFA, ANCELOTTI KOCHA BORA

    MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Brazil na klabu ya Real Madrid ya Hispania, Vinícius Junior ameshinda Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka ya 2024 a...
    Tuesday, December 17, 2024
    WASHINDI WA SHANGWE LA SIKUKUU LA LEONBET WAPATIKANA, WABEBA PIKIPIKI, SMARTPHONE NA TV INCHI 65

    WASHINDI WA SHANGWE LA SIKUKUU LA LEONBET WAPATIKANA, WABEBA PIKIPIKI, SMARTPHONE NA TV INCHI 65

    KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya  LEONBET imewazadia washindi wa kampeni ya Shangwe la Sikukuu zawadi kibao kwa kushiriki kampeni hiyo.   ...
    AZAM FC WAIPIGA FOUNTAIN GATE 2-0 NA KUJITANUA KILELENI LIGI KUU

    AZAM FC WAIPIGA FOUNTAIN GATE 2-0 NA KUJITANUA KILELENI LIGI KUU

    WENYEJI, Azam FC wametanua mbawa kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate katika mche...
    TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA COASTAL UNION, 1-1 ‘KWA MWINYI’

    TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA COASTAL UNION, 1-1 ‘KWA MWINYI’

    WENYEJI, Tabora United wamepunguzwa kasi baada ya kutoa sare ya kufungana bao 1-1 na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania...
    Monday, December 16, 2024
    KMC YAICHAPA PAMBA 1-0 BAO LA HANCE DAKIKA ZA JIOONII

    KMC YAICHAPA PAMBA 1-0 BAO LA HANCE DAKIKA ZA JIOONII

    BAO la dakika ya 88 la beki Hance Masoud Msonga limeipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa  Ligi Kuu ya NBC Tanzania Ba...
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-0 SOKOINE

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-0 SOKOINE

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Ba...
    Sunday, December 15, 2024
    KIBU DENNIS SHUJAA…SIMBA YAIKANDA SFAXIEN 2-1 ‘KWA MKAPA’

    KIBU DENNIS SHUJAA…SIMBA YAIKANDA SFAXIEN 2-1 ‘KWA MKAPA’

    WENYEJI, Simba SC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika mchezo wa mwisho mzunguko wa kwanza Kundi A Kombe la ...
    NAMUNGO FC YATOKA NYUMA KWA MABAO MAWILI NA KUICHAPA KEN GOLD 3-2 SOKOINE

    NAMUNGO FC YATOKA NYUMA KWA MABAO MAWILI NA KUICHAPA KEN GOLD 3-2 SOKOINE

    TIMU ya Namungo FC imetoka nyuma kwa mabao mawili na kushinda 3-2 dhidi ya wenyeji, Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ...
    Saturday, December 14, 2024
    YANGA YAOKOTA POINTI YA KWANZA LIGI YA MABINGWA, 1-1 NA MAZEMBE LUBUMBASHI

    YANGA YAOKOTA POINTI YA KWANZA LIGI YA MABINGWA, 1-1 NA MAZEMBE LUBUMBASHI

    BAO la dakika ya 90'+4 la mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo limeinusu Yanga kupoteza mechi ikipata sare ya 1-1 na wenyeji, T...
    Friday, December 13, 2024
    MAKAMBO AFUNGA MABAO MAWILI TABORA UNITED YAICHAPA AZAM FC 2-1

    MAKAMBO AFUNGA MABAO MAWILI TABORA UNITED YAICHAPA AZAM FC 2-1

    WENYEJI, Tabora United wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Ali Hassa...
    FOUNTAIN GATE YAICHAPA COASTAL UNION 3-2 TANZANITE KWARAA

    FOUNTAIN GATE YAICHAPA COASTAL UNION 3-2 TANZANITE KWARAA

    WENYEJI, Fountain Gate wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa...
    Thursday, December 12, 2024
    KMC NA MASHUJAA NGOMA NGUMU MWENGE, ZAGAWANA POINTI KWA SARE YA 0-0

    KMC NA MASHUJAA NGOMA NGUMU MWENGE, ZAGAWANA POINTI KWA SARE YA 0-0

    WENYEJI, KMC wametoka suluhu na Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Ki...
    SINGIDA BLACK STARS YAIBANJUA DODOMA JIJI 2-1 BAO ZOTE KAPIGA RUPIA

    SINGIDA BLACK STARS YAIBANJUA DODOMA JIJI 2-1 BAO ZOTE KAPIGA RUPIA

    TIMU ya Singida Big Stars imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja...
    Wednesday, December 11, 2024
    KAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO, 1-1 KAITABA

    KAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO, 1-1 KAITABA

    WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Kaitab...
    PAMBA JIJI YAWABANA JKT TANZANIA, MECHI YAISHA KWA SARE YA 0-0 MBWENI

    PAMBA JIJI YAWABANA JKT TANZANIA, MECHI YAISHA KWA SARE YA 0-0 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wamelazimishwa sare ya bila mabao na Pamba Jiji ya Mwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni leo Uwa...
     M-BET, HALOPESA KUWAZAWADIA MASHABIKI WA SOKA KUPITIA KAMPENI YA AMSHA AMSHA

    M-BET, HALOPESA KUWAZAWADIA MASHABIKI WA SOKA KUPITIA KAMPENI YA AMSHA AMSHA

    MASHABIKI wa soka wa Tanzania, sasa wanaweza kujishindia zawadi mbalimbali ikiwa pamoja na fedha kupitia kampeni ya  Amsha Amsha iliyozindul...
    YANGA SC YAMSAJILI BEKI WA ZAMANI WA SIMBA ISRAEL PATRICK MWENDA

    YANGA SC YAMSAJILI BEKI WA ZAMANI WA SIMBA ISRAEL PATRICK MWENDA

    KLABU ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo anayeweza kucheza nafasi za ulinzi hususan beki wa kulia, Israel Patrick Mwenda (24) kutoka Singi...
    Sunday, December 08, 2024
    SIMBA SC WACHAPWA 2-1 NA CONSTANTINE ALGERIA

    SIMBA SC WACHAPWA 2-1 NA CONSTANTINE ALGERIA

    WENYEJI, CS Constantine wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Moham...
    YANGA YACHAPWA 2-0 TENA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    YANGA YACHAPWA 2-0 TENA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    WENYEJI, MC Alger wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa Jumamosi Uwanja...
    Saturday, December 07, 2024
    SALIBOKO AFUNGA MAWILI KMC YAICHAPA BLACK SIX 5-0 KOMBE LA CRDB

    SALIBOKO AFUNGA MAWILI KMC YAICHAPA BLACK SIX 5-0 KOMBE LA CRDB

    WENYEJI, KMC wamefanikiwa kutinga Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na benki ya NBC baada...
    SHABIKI WA YANGA NA MAN UNITED  ASHINDA MILIONI 20 KUPITIA KASINO YA LEONBET

    SHABIKI WA YANGA NA MAN UNITED ASHINDA MILIONI 20 KUPITIA KASINO YA LEONBET

    SHABIKI wa klabu ya Yanga na Manchester United, Bright Mwakasege ameshinda Sh20 million kupitia kasino maarufu ya  LEONBET  kwenye mchezo pe...
    Friday, December 06, 2024
    JKT TANZANIA YASONGA MBELE KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA IGUNDA UTD 5-1

    JKT TANZANIA YASONGA MBELE KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA IGUNDA UTD 5-1

    TIMU ya JKT Tanzania imefanikiwa kwenda Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na benki ya CRD...
    Thursday, December 05, 2024
    KAGERA SUGAR YAAMBULIA SULUHU KWA PRISONS KAITABA

    KAGERA SUGAR YAAMBULIA SULUHU KWA PRISONS KAITABA

    WENYEJI, Kagera Sugar wametoa sare ya bila mabao na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Kait...
    Wednesday, December 04, 2024
    CHIKOLA MCHEZAJI BORA, TOUSSI KOCHA BORA LİGİ KUU NOVEMBA

    CHIKOLA MCHEZAJI BORA, TOUSSI KOCHA BORA LİGİ KUU NOVEMBA

    KIUNGO wa Tabora United, Offen Francis Chikola ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Novemba, huku Koch...
    Tuesday, December 03, 2024
    Monday, December 02, 2024
    COASTAL UNION YAWACHAPA TANZANIA PRISONS MABAO 2-1 ARUSHA

    COASTAL UNION YAWACHAPA TANZANIA PRISONS MABAO 2-1 ARUSHA

      BAO la dakika ya 90‘+5 la mshambuliaji Maulid Shaaban limeipa Coastal Union ushindi wa 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi...
    AZAM FC YAITANDIKA DODOMA JIJI 3-1 PALE PALE JAMHURI

    AZAM FC YAITANDIKA DODOMA JIJI 3-1 PALE PALE JAMHURI

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa ja...
    Sunday, December 01, 2024
    PAMBA JIJI YAILAMBA KEN GOLD KIDUDE KIRUMBA SHUGHULI YA MPOLE

    PAMBA JIJI YAILAMBA KEN GOLD KIDUDE KIRUMBA SHUGHULI YA MPOLE

    BAO pekee la mshambuliaji George Mpole Mwaigomole dakika ya 72 limeipa Pamba Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top