TANZANIA PRISONS YALIAMSHA DUDE, YAWAPIGA MASHUJAA 2-0 KIGOMA
TIMU ya Tanzania Prisons imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. Mabao ya Tanzania Prisons yamefungwa na kiungo Jumanne Elfadhili dakika ya 69 na mshambuliaji Jeremiah Juma dakika ya 90 na ushei. Kwa ushindi huo, Tanzania Prisons wanafikisha pointi 14 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya 10, wakati Mashujaa inabaki na pointi zake tisa za mechi 11 nafasi ya 15.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment