// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MASHUJAA YAAMBULIA SARE 1-1 KWA TABORA UNITED KIGOMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMASHUJAA YAAMBULIA SARE 1-1 KWA TABORA UNITED KIGOMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MASHUJAA YAAMBULIA SARE 1-1 KWA TABORA UNITED KIGOMA
WENYEJI, Mashujaa FC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na jirani zao, Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. Mashujaa FC walianza kupata bao kupitia kwa Jeremanus Josephat dakika ya 11, kabla ya Eric Okutu kuisawazishia Tabora United dakika ya 47. Kwa matokeo hayo, Mashujaa wanafikisha pointi tisa katika mchezo wa 10, ingawa wanabaki nafasi ya 15, wakati Tabora United inafikisha pointi 15 na kusogea nafasi ya saba baada ya kucheza mechi 11.
TP Mazembe win CAF Women’s Champions league trophy
-
TP Mazembe have won the 2024 CAF Women’s Champions League title after they
defeated ASFAR 1-0 in the final on Saturday evening, played at the Ben
M’Hamed...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment