// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MANCHESTER UNITED YATOKA NYUMA KWA MABAO MAWILI NA KUICHAPA ASTON VILLA 3-2 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMANCHESTER UNITED YATOKA NYUMA KWA MABAO MAWILI NA KUICHAPA ASTON VILLA 3-2 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MANCHESTER UNITED YATOKA NYUMA KWA MABAO MAWILI NA KUICHAPA ASTON VILLA 3-2
TIMU ya Manchester United usiku wa jana imetoka nyuma kwa mabao mawili na kushinda 3-2 dhidi ya Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester. Aston Villa ilitangulia kwa mabao ya John McGinn dakika ya 21 na Leander Dendoncker dakika y 26, kabla ya Alejandro Garnacho kuisawazishia Manchester United kwa mabao mfululizo dakika ya 59 na 71 na Rasmus Hojlund kufunga la ushindi dakika ya 82. Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 31 na kusogea nafasi ya sita, wakati Aston Villa inabaki na pointi zake 39 nafasi ya tatu baada ya wote kucheza mechi 19.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment