WENYEJI, Manchester United wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi yanChelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa kusmkia leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester. Mabao yote ya Mashetani Wekundu yamefungwa na Scott McTominay dakika ya 19 na 69, wakati bao pekee la The Blues limefungwa na Cole Palmer dakika ya 45. Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 27 na kusogea nafasi ya sita, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 19 nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi 15.
FUFA President’s New Year Address
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim made his first address in the New
Year today in a press briefing held at FUFA Complex Mengo, giving an update
abo...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment