// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MAN CITY CHALI VILLA PARK, YACHAPWA 1-0 NA KUSHUKIA NAFASI YA NNE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMAN CITY CHALI VILLA PARK, YACHAPWA 1-0 NA KUSHUKIA NAFASI YA NNE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MAN CITY CHALI VILLA PARK, YACHAPWA 1-0 NA KUSHUKIA NAFASI YA NNE
BAO pekee la winga Mjamaica, Leon Bailey dakika ya 74 limetosha kuipa Aston Villa ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa kuamkia leo Villa Park Jijini Birmingham. Kwa ushindi huo kwenye mchezo baina ya makocha wa Hispania, kikosi cha Kocha Unai Emery kinafikisha pointi 32 na kupanda nafasi ya tatu, kikiishushia timu ya Pep Guardiola nafasi ya nne Man City wa kubaki na pointi zao 30 baada ya wote kucheza mechi 15.
FUFA President’s New Year Address
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim made his first address in the New
Year today in a press briefing held at FUFA Complex Mengo, giving an update
abo...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment