// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
LIVERPOOL YAICHAPA SHEFFIELD UNITED 2-0 BRAMALL LANE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINELIVERPOOL YAICHAPA SHEFFIELD UNITED 2-0 BRAMALL LANE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
LIVERPOOL YAICHAPA SHEFFIELD UNITED 2-0 BRAMALL LANE
TIMU ya Liverpool FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Sheffield United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Bramall Lane mjini Sheffield. Mabao ya Liverpool yamefungwa na beki Mholanzi, Virgil van Dijk dakika ya 37 na kiungo wa Kimataifa wa Hungary, Dominik Szoboszlai dakika ya 90 na ushei. Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 34, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi mbili na vinara, Arsenal baada ya wote kucheza mechi 15, wakati Sheffield United inaendelea kushika mkia na pointi zake tano za mechi 15 pia.
FUFA President’s New Year Address
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim made his first address in the New
Year today in a press briefing held at FUFA Complex Mengo, giving an update
abo...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment