// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
IHEFU SC YAZINDUKA NA KUITANDIKA TABORA UNITED 2-1 MBARALI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEIHEFU SC YAZINDUKA NA KUITANDIKA TABORA UNITED 2-1 MBARALI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
IHEFU SC YAZINDUKA NA KUITANDIKA TABORA UNITED 2-1 MBARALI
TIMU ya Ihefu SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tabora United katik mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya. Mabao ya Ihefu SC yote yamefungwa na beki Vedastus Mwihambi dakika ya 40 na 56, wakati la Tabora United limefungwa na beki Mkongo Andy Bikoko dakika ya 84. Kwa ushindi huo, Ihefu SC inafikisha pointi 13 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya 13, wakati Tabita United inabaki na pointi zake 15 za mechi 12 nafasi ya tisa.
Crested Cranes travelling squad to Algeria
-
Crested Cranes Head Coach Sheryl Botes Ulanda has named the travelling
squad to Algeria ahead of the two international friendly games. The coach
named a ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment