GEITA GOLD YAIBAMIZA SINGIDA BIG STARS 1-0 NYANKUMBU
WENYEJI, Geita Gold wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida Fountain Gate ‘The Big Stars’ katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa shule ya sekondari ya wasichana ya Nyankumbu mjini Geita. Bao pekee la Geita Gold limefungwa na mshambuliaji wake tegemeo kwa sasa, Valentino Mashaka Kusengama dakika ya 79 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 16 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya 10, wakati Singida wanabaki na pointi zao 20 za mechi 14 sasa nafasi ya nne.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment