DODOMA JIJI YAICHAPA MAGEREZA DAR 1-0 ASFC NA KUSONGA MBELE
BAO pekee la Hassan Mwaterema limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Magereza ya Dar es Salaam katika mchezo wa hatua ya 64 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) usiku huu Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Mechi nyingine za leo ASC JKT Tanzania imeitoa Kurugenzi ya Simiyu kwa mabao 5-0 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam, Ihefu SC imeitoa Rospa FC ya Mtwara kwa kuichapa mabao 3-0 Uwanja wa Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya na Coastal Unión imeichapa Greenland ya Kagera mabao 2-0.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment