// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
AZAM FC YATOA SARE 1-1 NA AL HILAL MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEAZAM FC YATOA SARE 1-1 NA AL HILAL MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
AZAM FC YATOA SARE 1-1 NA AL HILAL MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI
TIMU ya Azam FC imetoa sare ya kufungana bao 1-1 na Al Hilal ya Sudan katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Al Hilal walitangulia kwa bao la mshambuliaji Mzambia, Albert Kangwanda dakika ya 27, kabla ya kiungo mzawa, Iddi Suleiman ‘Nado’ kuisawazishia Azam FC dakika ya 80.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment