// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
KIBU, INONGA NA DIARRA WATOZWA FAINI PAMOJA NA SIMBA NA YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEKIBU, INONGA NA DIARRA WATOZWA FAINI PAMOJA NA SIMBA NA YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
KIBU, INONGA NA DIARRA WATOZWA FAINI PAMOJA NA SIMBA NA YANGA
WACHEZAJI wa Simba SC, beki Mkongo Henock Inonga Baka ‘Varane’ na mshambuliaji Kibu Dennis Prosper pamoja na kipa wa Yanga, Djigui Diarra raia wa Mali wametozwa Faini kwa makosa yanayofanana kwenye mchezo baina ya timu zao Novemba 5 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ambao Yanga ilishinda 5-1, pia kocha wake Msaidizi, Msenegal Moussa N’Daw ametozwa faini pamoja na klabu yenyewe na watani wao, Simba SC kwa makosa tofauti.
TP Mazembe win CAF Women’s Champions league trophy
-
TP Mazembe have won the 2024 CAF Women’s Champions League title after they
defeated ASFAR 1-0 in the final on Saturday evening, played at the Ben
M’Hamed...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment