TIMU ya Chelsea imefanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Blackburn Rovers usiku wa Jumatano Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
Mabao ya The Blues katika mchezo huo wa Hatua ya 16 Bora yamefungwa na Benoit Badiashile dakika ya 30 na Raheem Sterling dakika ya 59.
0 comments:
Post a Comment