
Thursday, November 30, 2023

KOCHA mpya Mkuu wa Simba SC, Mualgeria Abdelhak Benchika amewaacha kipa Aishi Manula na washambuliaji, Nahodha John Bocco na Shaaban Iddi Ch...
COASTAL UNION YAIKANDA GEITA GOLD 3-1 MKWAKWANI
Thursday, November 30, 2023
WENYEJI, Coastal Unión wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja...
TWIGA STARS YATANGULIZA MGUU MMOJA WAFCON 2024
Thursday, November 30, 2023
TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Togo katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Pili...
HERSI MWENYEKITI WA KWANZA CHAMA CHA KLABU ZA SOKA AFRIKA
Thursday, November 30, 2023
RAIS wa Yanga, Hersi Ally Said ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Chama cha Klabu za Soka Afrika katika mkutano uliofanyika ukumbi wa M...
MAN UNITED YAAMBULIA SARE KWA UTURUKI 3-3 NA GALATASARAY
Thursday, November 30, 2023
WENYEJI, Galatasaray usiku wa Jumatano wametoka sare ya kufungana mabao 3-3 na Manchester United katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa U...
ARSENAL YAICHAPA LENS 6-0 LIGI YA MABINGWA
Thursday, November 30, 2023
WENYEJI, Arsenal wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Lena ya Ufaransa usiku w...
Wednesday, November 29, 2023
NA HIVI NDIVYO BENCHIKA ALIVYOANZA KAZI SIMBA SC
Wednesday, November 29, 2023
BAADA ya kutambulishwa rasmi jana, Kocha mpya Mkuu wa Simba SC, Mualgeria Abdelhak Benchikha leo ameanza kukinoa kikosi hicho Uwanja wa Mo S...
BARA YAKWAA KISIKI KWA SUDAN KUSINI CECAFA U18
Wednesday, November 29, 2023
TANZANIA Bara imekwaa kisiki baada ya kuchapwa 2-1 na Sudan Kusini katika mchezo wa Kundi B michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 18 Afr...
TANZANIA PRISONS YAICHAPA DODOMA JIJI FC 1-0 SOKOINE
Wednesday, November 29, 2023
BAO pekee la kiungo Jumanne Elfadhili Nimkaza kwa penalti dakika ya 77 limeipa Tanzania Prisons ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katik...
BENCHIKA AKUTANA NA WACHEZAJI TAYARI KUANZA KAZI SIMBA SC
Wednesday, November 29, 2023
BAADA ya kutambulishwa rasmi jana, Kocha mpya Mkuu wa Simba SC, Mualgeria Abdelhak Benchikha leo amekutana na wachezaji na kuzungumza nao kw...
YANGA KUANZA NA HAULING FC, SIMBA NA TEMBO AZAM NA ALLIANCE ASFC
Wednesday, November 29, 2023
MABINGWA watetezi, Yanga watamenyana na Hauling FC ya Njombe katika Hatua ya 64 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu ...
MAN CITY YATOKA NYUMA NA KUICHAPA RB LEIPZIG 3-2 ULAYA
Wednesday, November 29, 2023
WENYEJI, Manchester City jana wametoka nyuma kwa mabao mawili na kushinda 3-2 dhidi ya Rasen Ballsport Leipzig katika mchezo wa Kundi G Ligi...
IBRAHIM BACCA AJITIA KITANZI JANGWANI HADI 2027
Wednesday, November 29, 2023
BEKI wa kati, Ibrahim Abdallah Hamad 'Bacca' ameongeza mkataba wa kuendelea na kazi katika klabu ya Yanga hadi mwaka 2027. Bacca (26...
Tuesday, November 28, 2023
BENCHIKA APEWA MIAKA MIWILI SIMBA SC, AAHIDI KUREJESHA MSIMBAZI
Tuesday, November 28, 2023
KOCHA mpya wa Simba SC, Mualgeria Abdelhak Benchikha ameahidi kurejesha furaha kwa mashabiki wa timu hiyo baada ya kujunga na Wekundu hao wa...
RAIS HERSI AZINDUA TAWI LA WANA YANGA WASIOONA LEO DAR
Tuesday, November 28, 2023
RAIS wa Yanga, Hersi Ally Said leo amezindua tawi la wanachama wa Yanga Wasiiona Jijini Dares Salaam. Akizungumza baada ya kuzindua tawi hil...
TWIGA STARS INAVYOJIFUA KUIVAA TOGO ALHAMISI CHAMAZI KUFUZU WAFCON
Tuesday, November 28, 2023
MSHAMBULAJI Opah Clement anayechezea klabu ya Besiktas ya Uturuki akiwa mazoezi ya timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania leo Kituo cha Ufund...
BENCHIKA AWASILI NA WASAIDIZI WAWILI FARID NA KAMAL KUANZA KAZI SIMBA
Tuesday, November 28, 2023
KOCHA mpya wa Simba SC, Mualgeria Abdelhak Benchika amewasili usiku wa Jumatatu akiwa na wasaidizi wake wawili, Kocha Msaidizi Farid Zemiti ...
Monday, November 27, 2023
KAGERE AFUNGA, SINGIDA YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 LITI
Monday, November 27, 2023
WENYEJI, Singida Fountain Gate wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Unión katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo U...
KIKAO CHA BODI NA WACHEZAJI SIMBA SC CHAAMUA; "SHUGHULI INAANZA"
Monday, November 27, 2023
BODI ya Wakurugenzi ya Simba jana ilikutana na wachezaji kambini Mbweni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kujadiliana baada ya timu kwe...
YANGA YAZINDUA BACCA DAY MECHI DHIDI YA AL AHLY JUMAMOSI
Monday, November 27, 2023
KLABU ya Yanga imesema mechi yao ya pili ya Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya mabingwa watetezi, Al Ahly Jumamosi Uwanja wa Benjamin ...
TANZANIA YAICHAPA UGANDA 1-0 MICHUANO YA CECAFA U18 KENYA
Monday, November 27, 2023
TANZANIA jana imeanza vyema michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 18 Afrika Mashariki na Kati (CECAFA U18) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi...
Sunday, November 26, 2023
GARNACHO APIGA BONGE LA BAO MAN UNITED YASHINDA 3-0 LIVERPOOL
Sunday, November 26, 2023
TIMU ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Good...
JKT TANZANIA YAAMBULIA SARE KWA IHEFU SC 1-1 CHAMAZI
Sunday, November 26, 2023
TIMU ya JKT Tanzania imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam C...
GEITA GOLD YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 NYANKUMBU
Sunday, November 26, 2023
BAO pekee la mshambuliaji Valentino Mashaka Kusengama dakika ya 79 limeipa Geita Gold ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Li...
Saturday, November 25, 2023
ARSENAL YAICHAPA BRENTFORD 1-0 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND
Saturday, November 25, 2023
BAO la kiungo wa Kimataifa wa Ujerumani, Kai Lukas Havertz dakika ya 89 limetosha kuirejesha Arsenal kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ...
NEWCASTLE UNITED YAITANDIKA CHELSEA 4-1
Saturday, November 25, 2023
WENYEJI, Newcastle United leo wameitandika Chelsea FC mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. James' Park mjini New...
MAN CITY NA LIVERPOOL NGOMA DROO 1-1 ETIHAD
Saturday, November 25, 2023
MABINGWA watetezi, Manchester City leo wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja...
SIMBA SC YAANZA NA SARE YA NYUMBANI, 1-1 NA ASEC DAR
Saturday, November 25, 2023
WENYEJI, Simba SC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na ASEC Mimosas ya Ivory Coast katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika l...
YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI, YACHAPWA 3-0 ALGERIA
Saturday, November 25, 2023
MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wameanza vibaya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 3-0 na wenyeji, CR Beloui...
Friday, November 24, 2023
SINGIDA BIG STARS YAWACHAPA MAJIRANI DODOMA 2-1 JAMHURI
Friday, November 24, 2023
TIMU ya Singida Fountain Gate imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Ba...
MUALGERIA ABDELHAK BENCHIKA NDIYE KOCHA MPYA SIMBA SC
Friday, November 24, 2023
KLABU ya Simba imemtambulisha Mualgeria, Abdelhak Benchikha kuwa Kocha wake mpya Mkuu akichukua nafasi ya Mbrazil, Robert Oliveira ‘Robertin...
AZAM FC YAITANDIKA MTIBWA SUGAR 5-0 KIPRE APIGA HAT TRICK
Friday, November 24, 2023
WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam C...
Thursday, November 23, 2023
NAMUNGO FC YAICHAPA IHEFU 2-0 RUANGWA MABAO YA BUSWITA NA MAJIMENGI
Thursday, November 23, 2023
WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majaliw...
COASTAL UNION YAILAMBA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE
Thursday, November 23, 2023
BAO pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Benin, Roland Junior Beakou dakika ya 17 leo limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji...
FIFA YAIFUNGIA SIMBA SC KUSAJILI KISA PAPE SAKHO
Thursday, November 23, 2023
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Simba kufanya usajili hadi itakapoilipa klabu ya Teungueth ya Senegal sehemu ya ...
TANZANIA PRISONS YATAMBULISHA KOCHA MBADALA WA MINZIRO
Thursday, November 23, 2023
KLABU ya Tanzania Prisons imemtambulisha Hamad Hamisi Ally kuwa kocha wake mpya Mkuu, ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili kufundisha tim...
Wednesday, November 22, 2023
KAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE TU KWA KMC 1-1 KAITABA
Wednesday, November 22, 2023
WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba m...
GEITA GOLD YAIKANYAGA JKT TANZANIA 1-0 NYANKUMBU
Wednesday, November 22, 2023
BAO pekee la Edmund John dakika ya 42 limetosha kuipa Geita Gold ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania ...
HIZI NDIZO JEZI ZA YANGA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA
Wednesday, November 22, 2023
KLABU ya Yanga imemtambulisha jezi zake maalum kwa ajili ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kuelekea mchezo wake wa Kundi D dhid...
SIMBA SC YATAMBULISHA JEZI ZA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA
Wednesday, November 22, 2023
KLABU ya Simba imetambulisha jezi zake maalum itakazotumia katika Ligi ya Mabingwa Afrika kuelekea mchezo wao wa kwanza wa Kundi B dhidi ya ...
TAIFA STARS YACHAPWA 2-0 NA MOROCCO DAR, HAKIMI AKOSA PENALTI
Wednesday, November 22, 2023
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imechapwa mabao 2-0 na Morocco katika mchezo wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026 uliofanyok...
Tuesday, November 21, 2023
PRISONS YAACHANA NA KOCHA MINZIRO, TIMU APEWA MTUPA
Tuesday, November 21, 2023
KLABU ya Tanzania Prisons imeachana na Kocha wake, Freddy Felix Minziro kutokana na mwenendo mbaya wa timu katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania B...
YANGA SC YAIFUATA CR BELOUIZDAD UFUNGUZI MAKUNDI LIGI YA MABINGWA
Tuesday, November 21, 2023
KIKOSI cha Yanga kimeondoka Alfajiri ya leo kwenda Algeria kwa ajili ya mchezo wake wa kwanza wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya we...
Monday, November 20, 2023
MAMELODI MALKIA WA LIGI YA MABINGWA WANAWAKE
Monday, November 20, 2023
TIMU ya Mamelodi Sundowns imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake baada ya kuifunga SC Casablanca ya Morocco mabao 3...
Subscribe to:
Posts (Atom)