YANGA YAZINDUKA NA KUICHAPA GEITA GOLD 3-0 KIRUMBA
MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Mabao ya Yanga yamefungwa na viungo, Muivory Coast Pacome Zouazoua dakika ya 44, Mburkinabe Stephane Aziz Ki dakika ya 45 na ushei na Mkongo Max Mpia Nzengeli dakika ya 69. Kwa ushindi huo, Yanga wanafikisha pointi 12 na kusogea nafasi ya pili, wakizidiwa pointi moja na vinara, Azam FC baada ya wote kucheza mechi tano, wakati Geita Gold inabaki na pointi zake nne za mechi tano pia nafasi ya 12.
Preview: Arsenal v Ipswich Town
-
Get all the pre-match team news, stats, quotes, tactics and live TV
coverage in our essential guide to our festive fixture
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment