WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia hundi ya Shilingi Milioni 500 zawadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa timu ya taifa, Taifa Stars kwa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Ivory Coast. Anayeshuhudia katikati ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro.
WAZIRI MKUU AKABIDHI SH MILIONI 500 ZA TAIFA STARS KUFUZU AFCON
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia hundi ya Shilingi Milioni 500 zawadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa timu ya taifa, Taifa Stars kwa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Ivory Coast. Anayeshuhudia katikati ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro.
0 comments:
Post a Comment