TWIGA STARS WAKIJIFUA KUJIANDAA KUIKABILI BOTSWANA WIKI IJAYO
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake, 'Twiga Stars’ wakiwa mazoezini Uwanja wa Kituo cha Ufundi cha TFF, Kigamboni, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Raundi ya Pili kufuzu Olimpiki ya mwakani Paris dhidi ya Botswana Oktoba 26 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Timu hizo zitarudiana Oktoba 31, Uwanja wa Taifa wa Gaborone na mshindi wa jumla atakutana na mshindi wa jumla kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Afrika Kusini katika Raundi ya Nne. Kuna raundi ya Tano pia nay a mwisho na baada ya timu mbil zitaiwakilisha Afrika huko Paris.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment